stream at
https://bfan.link/malengoyamungu
Follow Israel Mbonyi at
https://israelmbonyi.com
/ israelmbonyi
/ israelmbonyii
/ israembonyi
/ israelmbonyi
Contacts :
Information : [email protected]
Bookings : [email protected]
Malengo
________
Verse 1
Atakaye kuwa na wema
Ahitajie kuheshimiwa
Basi aende ayatafute kwa
kutenda mema bila kusita
Asiyajali macho ya watu
Maana yao sio muhimu
Bali ajali jina nimuitalo
Kwani mi ni Mungu aliyemuumba
Chorus
Ninayajua yangu malengo
Ni mema sio mabaya
Ili niwape matumaini ya siku zijazo
Nawapenda
Wambieni wenye huzuni
Tulizeni wenye majelaha
Wambieni waje waone
Tuna Mungu mwingi wa upendo
Alitukuta tukigagaa dhambini akatutoa
Katuosha na kutusafisha
Akatuahidi uzima wa milele
Verse 2
Simameni kwenye mnara,
usubiri ntakacho kisema
Zizuieni sauti za muovu
Na upende kuwa mwenye haki
Nenda omba tena uombe
Tofautisha kuomba kwako,
Maana hapo nitakuokoa
Nitaoa jeshi kubwa kwa ajili yako